Buto Safari

Buto Safari Tunakusaidia kusafiri kwenda China kwa ajili ya Biashara. Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 15.

Hello wapendwa kwa watu wote walio serious kusafiri na Buto Safaris link ya group letu la WhatsApp hilo hapo jamaani 😊. ...
04/04/2024

Hello wapendwa kwa watu wote walio serious kusafiri na Buto Safaris link ya group letu la WhatsApp hilo hapo jamaani 😊. Safari ni 15/06/2024. You are warmly welcome 🤗👋

Happy Easter Everyone
31/03/2024

Happy Easter Everyone

🏨 Gharama za Safari kwenda Chini ZikijumuishaHoteli (Bed and Breakfast)✈️ Ticketi ya Ndege📨 Visa kutoka ubalozini🚗Airpor...
24/01/2024

🏨 Gharama za Safari kwenda Chini Zikijumuisha
Hoteli (Bed and Breakfast)

✈️ Ticketi ya Ndege

📨 Visa kutoka ubalozini

🚗Airport Transport

💵 Hivi vyote kwa gharama ya $2550.

Ofisi zetu zipo Sinza Bamaga karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.

Gharama za Safari kwenda Chini Zikijumuisha🏨 Hoteli (Bed and Breakfast)✈️ Ticketi ya Ndege📨 Visa kutoka ubalozini🚗 Airpo...
24/01/2024

Gharama za Safari kwenda Chini Zikijumuisha
🏨 Hoteli (Bed and Breakfast)

✈️ Ticketi ya Ndege

📨 Visa kutoka ubalozini

🚗 Airport Transport

Hivi vyote kwa gharama ya €2550.

Ofisi zetu zipo Sinza Bamaga karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.

Sasa si twende Chinaaaa!!! Kwanini usubiri mtu akufungie mzigo? Twende ukajifunze biashara tofauti tofauti za masoko mba...
22/01/2024

Sasa si twende Chinaaaa!!! Kwanini usubiri mtu akufungie mzigo? Twende ukajifunze biashara tofauti tofauti za masoko mbali mbali unayoweza kununua bidhaa zako.

Safari yetu ya kwanza tunategemea kuanza mwezi March. Tutumie message whatsapp kupitia link kwenye bio.

18/01/2024
Tunaanza 2024 k**a hivii.✈️ K**a ulikua na ndoto ya kufanya biashara nchini China✈️ K**a ulikua unatamani kutembelea Chi...
12/01/2024

Tunaanza 2024 k**a hivii.

✈️ K**a ulikua na ndoto ya kufanya biashara nchini China

✈️ K**a ulikua unatamani kutembelea China

Huu mwaka usijiweke nyuma, do everything that you wish to do. Hii ni sign ya wewe kuchukua uthubutu.

Buto Safari tupo hapa kukusaidia kupanga safari yako nzima, na kuhakikisha unapata experience ya kitofauti utakapofika China.

Text Us Kupitia Whatsapp
+255 674 591 114

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255787043668

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Buto Safari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Buto Safari:

Videos

Share

Category