Mountain tour safari

Mountain tour safari In spite of its natural beauty, the Tanzania tourism sector still remains relatively untapped, receiving approximately 600,000 visitors per annum compared
(2)

BOB KILLER MFALME MPYA SERENGETI Ni Simba ambaye amepewa jina Hilo baada ya kutekeleza mauaji ya kumuua Bob Junior akish...
23/03/2023

BOB KILLER MFALME MPYA SERENGETI

Ni Simba ambaye amepewa jina Hilo baada ya kutekeleza mauaji ya kumuua Bob Junior akishirikiana na wenzake 6,tayari anamiliki Mtoto wa Bob Junior (Marehemu)K**a mke wake.

Taarifa inasema kuwa Bob Killer ambaye ndiye aliyekuwa kiongozi tangu Alipomuua Bob Junior alikuwa na Simba jike ambaye ni Mtoto wa Marehemu Bob Junior na Leo hii amekubaliwa kuanza kumpanda huku Hali hiyo ikitarajia kudumu kwa kipindi Cha Miezi 2/3 kabla ya Simba Jike kukubali kubeba mimba na kuzaa na mbabe huyo

Kwa Sasa wanafanya tu mapenzi huku jike akiwa anasubiria kuona K**a Dume huyo ndiye atadumu kwenye utawala au atapinduliwa hivyo Ni lazima wakae Miezi 2/3 Kisha akiweza kufikisha kipindi hicho bila kupinduliwa ndipo ataweza kuzaa na kuendeleza kizazi.

Alama zilizopo katika mdomo wa Simba Huyo (Bob Killer) ndizo zinazowafanya watalii kumtambua na kumpa jina hilo

Never forget the three powerful resources you always have available to you: love, prayer, and forgiveness.
08/12/2022

Never forget the three powerful resources you always have available to you: love, prayer, and forgiveness.

16/03/2022

Great moment

12/12/2021

The great serengeti

Simba wanavomuwinda Twiga kwa kutumia mbinu mbalimbali hadi kumwangusha japo huwa wanakuwa pride nzima. na pride nzima i...
25/08/2021

Simba wanavomuwinda Twiga kwa kutumia mbinu mbalimbali hadi kumwangusha japo huwa wanakuwa pride nzima. na pride nzima inaweza kuwa hata na Simba hadi 16 kutokana na upatikanaji wa chakula kwenye eneo hilo.Twiga silaha yake kubwa dhidi ya maadui zake ni mateke yote ya mbele na ya nyuma anapiga kote k**a bruce lee hivi. teke lake moja akilirusha sawa sawa na likampata Simba basi hawezi kupona ni atakufa hamna namna maana teke la Twiga lina uzito wa 250kg ambapo ni sawa na uzito wa Simba mkubwa tena dume mwenye afya yake ndio huwa anafika 250kg. Japo Simba wanafanikiwa kuwawinda Twiga ni kwa mbinu walizokuwa nazo na pia ule umoja wao basi ila ndio ikatokea kajichanganya akapigwa shughuli imeisha Twiga usimuone mpole ana balaa huyo.

04/04/2021

Re post

16/12/2020

Nyati huwa wanatabia ya kuwatenga wenzao ambao huonekana wazee na hawana msaada katika kundi, sasa ogopa sana kukutana na hao nyati huwa ni wana hasira na ni hatari mnoooooo, mcheki huyo mwamba alivyowaletea balaaaa

21/11/2020

“In what terms should we think of these beings, nonhuman yet possessing so very many human-like characteristics? How should we treat them? Surely we should treat them with the same consideration and kindness as we show to other humans; and as we recognize human rights, so too should we recognize the rights of the great apes? Yes”

Dr. Jane Goodall

28/10/2020



Tunajithd sanaa kutoa elimu ya wanyama na tabia zao sasa hpo ni dhahir unaweza jifunza kitu...

Simba akiwa ktk misele akakutana na wageni nao kto misele yao wakienda kumchek

Simba akajua diko kupiga jino anash2ka upepo kumbe katia pancha haha

12/10/2020


Discover Tanzania, a majestic country deep in the heart of Africa, and explore a land of adventure and serenity! 💙 Travel safely to Tanzania with ...

19/09/2020

tour safari
---
What a magnificent honour it is for those tourists🐘❤❤❤














11/09/2020

Just a typical day in . Has anyone been to Ngorongoro crater?
national Park

06/09/2020

---
Dreaming of seeing the Great Migration in Serengeti National Park,Tanzania ? Talk to the experts now

23/08/2020

KING OF OFF-ROAD 🔥🔥💪



Ng'wandu

02/03/2020

Where else if not in Serengeti.
Mountain tour safari

27/02/2020

Baada ya Zebra Kuvamia Familia na kuikuta ina mtoto mmoja Dume halitaki Mtoto wa kambo hapo linafanya mchakato wa kumuua mtoto huku zebra jike akikombania Uhai wa wanae Bahati mbaya kabisa fisi walikuwepo karibu kwao ikawa ni wamepata chakula hatimaye kaliwa

Hapo Dume linataka lianzishe Familia yake Kwa nini wanafanya hivi Hifanya ivo kwa sababu wanahofia baadae huyu mtoto atakuja kumpindua ndo maana hufanya hivyo

08/02/2020

A common myth you often hear is that only females in a lion pride do the hunting. The theory being that this is because male lions leave the pride at around the age of two or three and therefore have insufficient time to learn adequate hunting skills from their fellows. Nonsense! While it is true the females do the lions share of the hunting, this is not due to a lack of skill on the part of the male but rather a simple gender specific difference in priorities. The males are too busy patrolling territorial boundaries to hunt in front of our eager cameras! They are busy keeping other males away from the females and their children in order to prevent the famous infanticide, in which male lions will kill cubs below the age of six months. They are busy fighting off the encroachment of hyenas who will happily kill lions and their cubs at every opportunity due to intense inter specific competition, where two species are competing for the same finite resource: food! But as this video shows, male lions are certainly well equipped for battle and powerful hunters in their own right. The kings of the jungle are able to take down a buffalo weighing around eight to nine hundred kilograms in a single blow with one swipe of a mighty paw. The buffalo is then suffocated with powerful jaws tightly clenched around the throat, thankfully a quick and relatively painless death! Lions are more than capable hunters, often brought in to take down the bigger prey including giraffe and even elephant. They are the ultimate bad ass of the Bush. This myth that male lions cannot and will not hunt needs to be dispelled! So feel free to share this video to whomever you wish with love from mountain tour Safaris

07/02/2020

Toa msaada siku utapata tu msaada. Kwa wale wavuvi samaki wanaitwa Dolphins (pomboo) aliachwa na maji baada ya maji kupwa maeneo ya njovu Kilwa, wavuvi huwarudisha majini, aina hii ya samaki ni marafiki na waokozi wa wavuvi pindi wakipata majanga majini hivyo wavuvi huwa hawawadhuru na wana wajibu wa kuwaokoa, na ni samaki wenye shukrani sana k**a mnavyoona hapo huyo mmoja mpaka ameruka juu ishara ya kushukuru.

Address

P. O. BOX 13912
Old Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255755632428

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mountain tour safari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mountain tour safari:

Videos

Share

Category

Nearby travel agencies