Kilimanjaro-Serengeti Tours &Travels Ltd

Kilimanjaro-Serengeti Tours &Travels Ltd Lifetime memories. Choose or combine: Kilimanjaro tours

Dhambi sikuzote ni mbaya sana! Basi mkitunga uongo kumbukeni kuwaza yajayo na muipange sawasawa!
22/05/2024

Dhambi sikuzote ni mbaya sana! Basi mkitunga uongo kumbukeni kuwaza yajayo na muipange sawasawa!

28/04/2024

WE LIVE IN VERY INTERESTING AND FUNNY TIMES (2Timothy3:1-5)

1.We live in times where we see many humans, but not humanity.

2.We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms.

3.We live in times where smart phones bring you closer to those who are far, but distance you from those who are closer.

4.We live in times where we open Facebook, more than The Holy Book;

5.We live in times where a single mother can look after 10 children, but 10 children can't look after a single mother;

6.We live in times where the rich walk miles to digest food, while the poor walk miles to search for food;

7.We live in times where women are paid to be naked, while others have no clothes to cover their nakedness.

8. We live in times where our contact lists are huge, but our relationships are poor.

9. We live in times where our possessions are more, but our appreciation is less;

10. We live in times where we know how to earn a good living, but somehow forget how to live a good life;

11.We live in times where many know the price of everything, but not the value of anything.
Indeed, we live in a strange world. May God help and Guide Us

07/04/2024

HELLEN-997673
I use NALA for moneybyransfwr to Africa. It is fast and secure.

12/03/2024

Nani k**a Mama?

11/03/2024

*MUHIMU!*

Magonjwa pamoja na vifo vinavyochangiwa na stress na mazingira magumu tunayoishi vimezidi kuongezeka.

Tafadhali epuka;
i. Kukasirishwa kirahisi na mwenzi, watoto, marafiki, wafanyakazi wenzako, majirani, wasaidizi wa majumbani n.k.

ii. Epuka kujibu kwa ukali au kufoka mara kwa mara, jaribu kupunguza tabia ya ukali. Tafuta utulivu ndani ya moyo wako.

iii. Jitenge na usumbufu usiokuwa wa lazima k**a vile kuishi na wategemezi wakorofi au wasumbufu nyumbani kwako.

iv. Epuka kuwaza kupita kiasi. Hata k**a huna pesa au chakula ndani ya nyumba, bado maisha yanakuhitaji.

v. Tafuta njia sahihi ya kuongeza kipato. Hakikisha kila mtu mzima unayeishi naye nyumbani kwako anajishughulisha.

vi. Usikope kwa ajili ya kusaidia watu walio karibu nawe, wema usizidi uwezo. Acha wakope wenyewe kwani hawatajua ulikopitia.

vii. Tengeneza mtandao wa marafiki sahihi, wanaoishi kwa malengo ya kumpendeza Mungu.

viii. Miliki furaha ya moyo wako kwani una kila sababu ya kuishi kwa furaha, bila kujali kipato ulichonacho.

ix. Afya yako ina thamani kuliko chochote ulichonacho. Zingatia lishe bora, *fanya mazoezi*, pima afya yako mara kwa mara bila kusahau umuhimu wa Bima ya Afya.

x. Muhimu zaidi: imarisha imani yako kwa Mungu wako, kwani Yeye ndiye sababu ya wewe kuishi duniani.
xi Jitahidi kutafuta jambo lolote la kukufanya ucheke/ utabasmu ( Hata k**a unaumwa, una madeni. Bado maisha yanaendelea

*Mwenyezi Mungu Atusaidie*
Nalipenda Sana hili group hata K**a cna Cha comment Ila Huwa nacheka saaaaaana. Nawapenda Sana muwe na CK njema iliyojaa furaha na amani. Kicheko kiwe sehemu ya maisha yenu.

10/03/2024

*NYUNDO YA USIKU*

*Jitahidi kuwa na kinywa chenye Hekima na busara,*
*Ili ikifika Siku ya kula maneno Yako usije ukayatapika.*

Address

Pasua-Relini
Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00
Sunday 10:00 - 13:00

Telephone

+255682962868

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimanjaro-Serengeti Tours &Travels Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category



You may also like